sw.news

Mpungaji Pepo Apendwaye Na Francis Ni "Mlutheri"

Profesa Giuseppe Ferrari, mwandalizi wa "Zamu ya Upungaji Pepo" ya kila mwaka katika Chuo kikuu cha Roma "Regina Apostolorum" ambacho kinamilikiwa na Maaskari wa Kristo, aliambia kituo cha habari bandia New York Times (Aprili 19) kwamba katika kongamano la mwaka ujao anataka kualika "mpungaji peo anayependwa zaidi na Papa, Mlutheri".
Ferrari hakutaja jina lake.
Hata hivyo, mnamo mwezi Machi mwaka wa 2013 Mwajentina Diario Popular alimtangaza mhubiri wa Kilutheri Manuel Acuña kama "mpungaji pepo anayependwa zaidi na Papa Francis".
Acuña ambaye hujiita "Askofu" na huvalia mavazi kama ya Askofu Mkatoliki, ni rafiki wa karibu wa Fracis. Ni mwanahama wa "Kanisa la Karismatiki la Ajentina". Mnamo mwezi Machi mwaka wa 2015 "alipunga pepo" kutoka kwa mwanamke mwenye umri wa miaka 22 katika ibada iliyoprprushwa moja kwa moja. Mtandao wa Debate.com.mx uliita kipindi hicho cha moja kwa moja "cha kingono na kisicho cha kawaida".
Bergoglio alikuwa akimpendekeza Acuña kama mponyaji wa kiroho kila …Zaidi

215
sw.cartoon

Francis Alisema Mnamo Mwaka Wa 2016: Kuna "Uaminifu" Katika Wenzi Wanaoishi Pamoja Na Wamo Katika "Ndoa Halisi"
Picha: © gloria.tv, CC BY-ND, #newsPanpsvcqez

130
oarielvillar

Familia Ingalls - T01C06 - El Amor de Jony Jonson.
Familia Ingalls - T01C06 - El Amor de Jony Jonson

49:37
1elfu 15
Lila San Car

Cómo le puede gustar el caitudo a Laura! Para gustos los colores!!! .🤪😍💜💙💚🖤♥️💛🧡❤️.. jajajaja! ....porque no le das un buen bofetón!!! jajajaja!!!!pobre Laura! 💔, El chico gusta de Mary!!!!

Videos para ver en Familia ameshirikisha hii

Para ver en familia

Solid Truth

Wake Up!!!

02:36
76

Papa anakufa, Maisha Marefu kwa Papa!

Papa anakufa, Maisha Marefu kwa Papa!
Katika hali ya kutokuwa na uhakika na huzuni, mwangaza wa mwisho wa maisha ya papa mmoja unaashiria uwasili wa haraka wa mwingine – kama alivyokumbuka Mtakatifu Yohani Paulo II katika nyakati zake za mwisho. Papa Bergoglio, ambaye amewekwa chini ya utawala unaoongozwa na kardinali wenye utata – baadhi yao kujitajia “antipapa” (Kardinali Martini) na wengine ambao wamekubali kuwa walikuwa wa kundi linalojulikana kama “mafya takatifu”, yaani Kikundi cha Sankt Gallen (Kardinali Danneels) – amekumbwa na hali mbaya kiasi kwamba uvumi kuhusu uwezekano wa kuaga kwake duniani umeanza kusambaa.
Wakati huo huo, Idara ya Mawasiliano ya Vatikani inaendelea kutoa taarifa zisizo kamili na zilizo na upendeleo. Je, lengo ni lipi? Labda ni kuwafanya waumini wabaki katika hali ya kutokuelewa, kulinda maslahi ya ndani, au tu kuhifadhi uhuru wa kuchukua hatua mbele ya uwezekano wa kuondoka kwa Bergoglio, labda kupitia kukatishwa kwa madarakani au kwa sababu ya …Zaidi

42
sw.news

Idadi ya Washirika Katika "Urbi et Orbi " ya Pungua kwa Ghafla

Papa Francis na itikadi yake huria yakata rufaa kwa wasio mwogopa Mungu lakini inakataa kuwavuta waumini. Mfano wa hivi karibuni :Wakati wa baraka za Francis za "Urbi et Orbi "wa mwezi wa Desemba tarehe ishirini na tano mle mjini wa Mtakatifu Petro ulikuwa nusu tupu.
Picha iliyo kwenye kushoto unaonyesha baraka za Krisimasi mwakani 2014 wakati mji huo ulikuwa umejaa. Picha ya kulia ni ya siku ya Krisimasi ya 2017.
Kupungua kwa idadi ya wakristu tangu Francis awe papa -pia wakati wa hadhira ya Jumatano -unaonyesha umaarufu wake unavyopungua miongoni mwa Wakatoliki. "Umaarufu "wake kwa nafasi kubwa ni wa magazetini.
#newsXskjeneuya

54
sw.cartoon

Sauti Tulivu Hazikaribishwa Katika Vatikani Ya Papa Francis.
Picha: © gloria.tv, CC BY-ND, #newsIunzxneznl

119
HP Y GC

Chapelet au Karmel

25:51
27
Guntherus de Thuringia

Mr. Lumumba Amin
facebook.com/share/v/18s5PgWDmw/

05:49
9
RAFAEL MEDINA MEDINA

Muujiza wa Ekaristi uliotokea wakati wa Misa iliyoadhimishwa na Askofu Claudio Gatti, huko Roma, Italia

Kurasa 6
163
sw.news

Askofu Wa Austria Ana Kasula Angavu

Jumba la Makumbusho la Makao ya Watawa ya Admont ya Wabenedikti, Austria, limeonyesha mali ya Askofu mpya wa Innsbruck, Hermann Glettler ambaye alitiwa wakfu mnamo mwezi Desemba mwaka wa 2017.
Miongoni mwa mali hiyo ni picha ya mnamo mwaka wa 2004 ya Glettler akiwa amevalia "kasula" angavu iliyotengenezwa kwa plastiki. Picha hiyo pia imo kwenye ukurasa wa kwanza wa daftari ya jumba hilo la Makumbusho.
Gletter ana imani katika makasisi wa kike. Kuteuliwa kwake kulisifiwa kwa kina na vyombo vya habari.
#newsKjnocdvrkq

273
sw.cartoon

Sinodi La Amazon: Bikra Maria Alimwambia Mtakatifu Bridget Kwamba Papa Atakayetupilia Mbali useja, Ataenda Jahanamu.
Picha: © gloria.tv, CC BY-ND, #newsDgykwtpshg

134
carlos padila

NUEVA MISA CVII - MALACHI

159
Denis Efimov

Así es.

sw.news

Papa Francis Amependekeza Kurekebishwa kwa Amoris Laetitia

Marekebisho ya mwezi Septemba ya nakala ya Papa Francis Amoris Laetitia "yanalingana na mwaliko wa Papa kuwe na mazungumzo", alisema Padre Nicola Bux, mwanaliturujia ambaye ni rafiki wa karibu wa Benedict XVI, akiambia gazeti La Fede Quotidiana (Oktoba 5). Aliongeza kuwa, "Papa amekuwa akipendekeza mjadala wa haki na ulio wazi na kutumia nejobla Kigriki Parresia ambalo humaanisha kuzungumza wazi."
Picha: Nicola Bux, #newsQpqyzqdjvo

94
sw.cartoon

Kulingana Na Ripoti, Papa Francis Awatupia Hasira Wafuasi Wake.
Picha: © gloria.tv, CC BY-ND, #newsQbutcrtblx

136
Guntherus de Thuringia

instagram.com/reel/DW5AYUrjByE/
David Icke

05:02
12
sw.news

Marekebisho Ya Fedha Za Vatikani Yashuhudia "Kinyume Halisi"

Mtaalamu ambaye hajatambulishwa alimwambia Edward Pentin (Aprili 27) kwamba marekebisho yanayosemekana ya Fedha za Vatikani yamefeli.
Kulingana naye, kesi kadhaa za jinai za kifedha zilifichuliwa katika miaka ya kwanza ya upapa wa Francis, ila hayakushtakiwa.
Afisi ya "Mfadhili wa Haki" huchagua kesi chache tu huku ikizipuuza zingine.
Msemaji huyo aliongeza kuwa, "Ingawaje hakuna mtu anayetaka kukiri jambo hili, kwa ufanisi tunashuhudia kinyume cha utaratibu wa marekebisho ya miaka mitano iliyopita."
Picha: © European Parliament, CC BY-NC-ND, #newsZkjlvceinz

540